Natafuta mume

Natafuta mume

Jamani kama kichwa habari kinavyojieleza,

Ni mara pili sasa natafuta mume na sio mchumba.Umri 30+ awe mkristo na pia elimu ya kati awe mrefu mwenye upendo na mapenzi ya dhati. Mimi ni mkristo nina elimu ya kutosha kujitambua, mwajiriwa wa serikali umri wangu 30+.

Vigezo vyote ninavyo......ila huu ufupi huu(umeniponza)
 
Kwa uhitaji wa mwanaume wa umri wako aiseee hapo kupata ni shida sanaa mana mmmm
 
Jamani kama kichwa habari kinavyojieleza,

Ni mara pili sasa natafuta mume na sio mchumba.Umri 30+ awe mkristo na pia elimu ya kati awe mrefu mwenye upendo na mapenzi ya dhati. Mimi ni mkristo nina elimu ya kutosha kujitambua, mwajiriwa wa serikali umri wangu 30+.
Kama upo rayari, ila mm sijafikisha 30
 
ningekuwa sijaoa ningevuta goma yaani vigezo vyote ninavyo kasoro tu nina mke
 
Tengua kigezo cha umli kijana wa miaka 30 hawezi kuoa bint wa miaka 30 hapo ongeza miaka asizidi miaka 34 ndio lika lako la ndoa
 
Jamani kama kichwa habari kinavyojieleza,

Ni mara pili sasa natafuta mume na sio mchumba.Umri 30+ awe mkristo na pia elimu ya kati awe mrefu mwenye upendo na mapenzi ya dhati. Mimi ni mkristo nina elimu ya kutosha kujitambua, mwajiriwa wa serikali umri wangu 30+.
OK nitakutafuta tuyajenge
 
Miaka 29 huchukui?

Back
Top Bottom