Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
hongera dada naona una bahati,wadada wengine wananagwa humu balaa....
So ulikua unafatilia comment kama;
1. Una bikra?
2. Unaeza kua mke wa pili au mchepuko?
mmmnh hii post inanihusu mie au?
Ndioooo! Si umesema huyo ana bht..wenzake wananangwa..mi nikatoa mfano wa hoja yako. Umeelewa?
she came politelyhongera dada naona una bahati,wadada wengine wananagwa humu balaa....
number mbili itapendeza Zaidi lol
she came politely
Uzuri wa tangazo lake halina mashart kaa wengine, kajieleza vizuri tuu ana miaka 24,kaajiliwa,anaishi dar,mkirstu afu kaomba mwenye kuitaji wawasiliane naehongera dada naona una bahati,wadada wengine wananagwa humu balaa....
Anaweza kuwa mke mwema huyu, ngoja nikesha nikiomba afu kesho ntakupa majibu kaa ni mke mwemalabda na wengine watajifunza kabla ya kuomba mume humu,lol BTW changamkia fursa hio mkuu....huyu hata Insta sijui kama anaijua?lol ...............................pengine anaijua,siwezi kumsemea lol
hahaha sitaki kumdanganya sijaoa bado ila nina mupenzi,thans for your recommendation mkuulabda na wengine watajifunza kabla ya kuomba mume humu,lol BTW changamkia fursa hio mkuu....huyu hata Insta sijui kama anaijua?lol ...............................pengine anaijua,siwezi kumsemea lol
Ndo nafasi hiyo itumie unaweza kuta ndo yule yule Wa mtaani kwenu alo kuzingua asa huenda mkikutana huku mkapendanaMimi nashangaa tukiomba kuwaoa huku mtaani mnazingua halafu mnakuja kutafuta Jf.
Njoo PM mimi nipo Dar
Ndo nafasi hiyo itumie unaweza kuta ndo yule yule Wa mtaani kwenu alo kuzingua asa huenda mkikutana huku mkapendana
Japo wengi wao ndo wale walo acha juzi kujiuza baada ya soko kua gum
Si ulisema hutaki una nn lakin?Tiss kwenye ubora wao