Natafuta mume

Natafuta mume

Wenzio wamekuwa followed instagram huko we unatupa email yako hapa. Shikana Teddy
 
labda na wengine watajifunza kabla ya kuomba mume humu,lol BTW changamkia fursa hio mkuu....huyu hata Insta sijui kama anaijua?lol ...............................pengine anaijua,siwezi kumsemea lol
hahaha sitaki kumdanganya sijaoa bado ila nina mupenzi,thans for your recommendation mkuu
 
Mimi nashangaa tukiomba kuwaoa huku mtaani mnazingua halafu mnakuja kutafuta Jf.
Njoo PM mimi nipo Dar
Ndo nafasi hiyo itumie unaweza kuta ndo yule yule Wa mtaani kwenu alo kuzingua asa huenda mkikutana huku mkapendana

Japo wengi wao ndo wale walo acha juzi kujiuza baada ya soko kua gum
 
Aisee
Ndo nafasi hiyo itumie unaweza kuta ndo yule yule Wa mtaani kwenu alo kuzingua asa huenda mkikutana huku mkapendana

Japo wengi wao ndo wale walo acha juzi kujiuza baada ya soko kua gum
 
Back
Top Bottom