RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Sometimes watu wanajiona smart wakati ni kinyume chake. Mfano hao wanaoona e mail I mtego, sasa nitoke hapa nimtumie e mail atajuaje kuwa e mail hii inatoka kwa RRONDO? Sana sana ataona .....@gmal.com hawezi kujua nilietuma e mail ni mimi.