Natafuta mume

Natafuta mume

Mimi ni binti wa miaka 24, mkristu (RC) nimeajiriwa, sina mtoto.
Natafuta mwanaume wa kunioa, umri 26-35, mkristu, asiwe na mtoto.

Nitafute tmaganga21@gmail.com
Teddy mwanaume wa Umri huo Kukuta hana mtoto basi Ujue atakua na vitabia kama vya Nabii Tito. Jipange Upya Labda utafute Viben Kumi
 
Huyu mdada nilimfuata inbox kwa email address yake Daaaah.. Sura imekaa kushoto ile mbaya.

MY TAKE...... Ukiona mwanamke anatoa tangazo la kuolewa jifikirie Mara mbili.. Maana walio wengi Wana bad morphology
 
Umbea wa kike huu... unatutia aibu wanaume.... Sura imekaa kushoto umemuumba wewe...??
 
Mdada kaja vizuri sana hadi moyo wangu umeyeyuka nyang’alii....
hana mbwembwe hana makuu...

Tedy nakuja mama.

Wakuu nitaleta feedback!
 
Jina lako (Teddy) limenikumbusha X wangu mmoja hivi,nilikuwa namuelewa sana ila akaniletea utoto nkajiweka pembeni. Nkutakie kila la kheri ndugu. Mungu asimamie upate hitaji la moyo wako.
Miez mitatu nilikuwa na na mtu wa jina hilo ila sasa Kaul zake nikaona isiwe tabu niakaa pembeni
 
Back
Top Bottom