Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teddy mwanaume wa Umri huo Kukuta hana mtoto basi Ujue atakua na vitabia kama vya Nabii Tito. Jipange Upya Labda utafute Viben KumiMimi ni binti wa miaka 24, mkristu (RC) nimeajiriwa, sina mtoto.
Natafuta mwanaume wa kunioa, umri 26-35, mkristu, asiwe na mtoto.
Nitafute tmaganga21@gmail.com
ndo maana huolewiUnaweza ukaacha tu
Umbea wa kike huu... unatutia aibu wanaume.... Sura imekaa kushoto umemuumba wewe...??Huyu mdada nilimfuata inbox kwa email address yake Daaaah.. Sura imekaa kushoto ile mbaya.
MY TAKE...... Ukiona mwanamke anatoa tangazo la kuolewa jifikirie Mara mbili.. Maana walio wengi Wana bad morphology
Miez mitatu nilikuwa na na mtu wa jina hilo ila sasa Kaul zake nikaona isiwe tabu niakaa pembeniJina lako (Teddy) limenikumbusha X wangu mmoja hivi,nilikuwa namuelewa sana ila akaniletea utoto nkajiweka pembeni. Nkutakie kila la kheri ndugu. Mungu asimamie upate hitaji la moyo wako.
Ni wa maeneo gani!?[emoji1] [emoji1] [emoji1] anawezakuwa ndo yeyeMiez mitatu nilikuwa na na mtu wa jina hilo ila sasa Kaul zake nikaona isiwe tabu niakaa pembeni