Natafuta mume

Mbona sifa zako chache sana halafu yeye umemuorodheshea sifa nyingi hivyo?
Unataka yeye awe na hofu ya Mungu, lakini wewe hujasema kama hiyo hofu ya Mungu unayo au lah!

Anyway, kila la kheri.
 
Mbona sifa zako chache sana halafu yeye umemuorodheshea sifa nyingi hivyo?
Unataka yeye awe na hofu ya Mungu, lakini wewe hujasema kama hiyo hofu ya Mungu unayo au lah!

Anyway, kila la kheri.
Hahahaha anashindwa kuelewa kuwa ye ndo mwenye uhitaji
 
Sasa mbona sifa zako ni chache kuliko za huyo unayemtafuta? Wewe una hofu ya Mungu? Una upendo wa dhati?

Anyway kila la kheri mkuu
 
Sisi wafupi imemega kwetu. Kila anayetafuta mume utasikia 'mrefu'![emoji23]
 
Binti huku kuna majambazi, be care full na ujiandae kuwa make wa pili, hao unaowatafuta,wana watoto wamezalisha tiyari, wengine wagame, wengine maario tegemezii, watakunyonya hadi damu. Wanapenda kulelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…