Natafuta mume

Natafuta mume

Hapa ndo weng hesabu zenu mnakosea !!.

Ushajua ID yako ya awali ilijaa maluwe luwe ,basi mnakuja na ID mpya !!.ivi unadhan hata uyo mwanamme atakayekuja ,yeye Hajui ulikua na ID ingine apo wali ?.

Embu njooni ktk Uhalisia wenu bana ,nini mnachoogopa ??

Haya nimatokeo ya ulichokua unakifanya na kukisema humu ,, MTU kama unajijua ulikua unafanya nakusema mzur, haina haja ya kuja na ID mpya !!. Sure hamna muoaji asotaka kujua niwapi umetokea.

Basi hata ungeacha kidogo upost post na kukoment post nzur zenye uvuto ,ili uwavutie, sasa hilo nalo linakushinda !!

Sister am very sory to say this ,," watakuja ma boyfriend lkn sio Mumefriend" ..hapa ndipo utajua Mwanamme nikiumbe mwenye Akili.
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Habari wana JF natafuta mume wa kuanzia miaka 35+
SIFA
Awe mkiristo
Mwenye hofu na Mungu
Mwenye upendo wa dhati
Awe na rangi at least(maji ya kunde +
Asiwe bonge
Mwenye shughuri ya kumuingizia kipato
Mrefu

SIFA zangu,
Mweusi
Mwili wastani
Elimu graduate
Urefu wastani.




Karibu
Kuja huku
 
Sisi wafupi imemega kwetu. Kila anayetafuta mume utasikia 'mrefu'![emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwakweli [emoji119] itakuwa anadhani kuwa warefu tu ndio wana dushe kubwa, imani potofu
 
Habari wana JF natafuta mume wa kuanzia miaka 35+
SIFA
Awe mkiristo
Mwenye hofu na Mungu
Mwenye upendo wa dhati
Awe na rangi at least(maji ya kunde +
Asiwe bonge
Mwenye shughuri ya kumuingizia kipato
Mrefu

SIFA zangu,
Mweusi
Mwili wastani
Elimu graduate
Urefu wastani.




Karibu
Unafanya kazi gani?
 
Unafanya kazi gani?
Usiogope majukumu dreka kufanya au kuto kufanya kazi sio kigezo kwani wewe unaenda kuishi na mwana mke na sio kazi yake. Na istoshe acha kuya kimbia majukumu yako ya kutunza mke na familia huo ni wajibu ulio pewa na mungu.

Acha ubinafsi walio na kazi wasio na kazi wote Wana haki sawa ya kumpata mwanza.
 
Back
Top Bottom