Natafuta mume

Natafuta mume

Duuh mm mchilamu alafu dalasa lasaba duu nime kukusa hivi hivi
 
Usifate fate huku nko busy kumtafuta valentine wangu....mana umekataa kunihonga
Mara hii tu tayari umeshaanza kuchepuka dear, looohh [emoji17] ngoja niendelee kutafuta tu.[emoji125] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Habari wana JF natafuta mume wa kuanzia miaka 35+
SIFA
Awe mkiristo
Mwenye hofu na Mungu
Mwenye upendo wa dhati
Awe na rangi at least(maji ya kunde +
Asiwe bonge
Mwenye shughuri ya kumuingizia kipato
Mrefu

SIFA zangu,
Mweusi
Mwili wastani
Elimu graduate
Urefu wastani.

Karibu
Huyo hapo atakufaa
310e8e828f7e4997a967ebebc686effc.jpg
 
Mara hii tu tayari umeshaanza kuchepuka dear, looohh [emoji17] ngoja niendelee kutafuta tu.[emoji125] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Hahahaaa nilijua hutaona hii comment ...plzzzzz namtania ni ww tu
 
Back
Top Bottom