Natafuta mume

Dah! mimi nimeishia hapo kwenye umri wake tu!
 
Huwaga akina dada wakiwa bado wabichi wanawaza kuwa na mtoto, baadae umri ukienda wanaume wenyewe tunataka kuoa wanawake wasio na watoto wanabaki na option ya second selection,
 
Sasa unatoa mashariti magumu wakati teyari unamtoto je na yule umtakaye unayajua mashariti Yake?
 
Mi nna sifa zote Ila andunje ka ganda la kiberiti tena nweusi tiii
 
Miaka 9 ijayo utaanza kuitwa Mzee. Kikubwa endelea kulea mwanao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibu pm tuongee kwa ndani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msimkatishe tamaa jmn, huwezi jua kilichomtokea mtu mpaka kufikia hali hiyo. Anaekidhi vigezo amfuate sasa wengine mapovu mengi na maneno ya kejeli juu. Duuu
 
]Msimkatishe tamaa jmn, huwezi jua kilichomtokea mtu mpaka kufikia hali hiyo. Anaekidhi vigezo amfuate sasa wengine mapovu mengi na maneno ya kejeli juu. Duuu[/QUOTE]
wengi wao wanaokatsha tamaa ni wale wanaume suruali ambao hawawezi kukidhi vigezo watakavyo wanawake kama unaona post haikuhusu pita kushoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…