Natafuta Mume

Kote nimefit.kasoro kwenye bia hapo nimefeli
 
Mm na 24 niko seriaz
 
Eheee nilikuwa nawaza namana yakuacha kilaji coz Natumia pesa vibaya mno... Wewe utakuwa msada kwangu kama hutajali
 
Bandiko lako Dada linaeleweka kirahisi japo pia sidhani kama wewe uko serious
 
Nina vigezo vyote ila nafanya kazi kiwanda cha bia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Tupia picha hapo tuone mambo kama lweli umeumbika kile au lah!
 
Write your reply...Umri huo hata serikali ndo wanaweza kuchukulia kuwaajiri watu lakin mbona unapenda wazee
 
We mwenyewe ni kilevi asikutumie[emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…