chinekeeee
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 1,787
- 2,894
Duh na bia zilivyoshuka bei .... kweli nimeshakosa mke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm na 24 niko seriazSio rahisi sana kuandika hapa,ila tunaandika kwa Imani tu kuwa Mungu atafanya coz mume/mke anapatikana popote:
In short natafuta mume umri wangu 27,mkristo,ni single mom(swali la baba ake yupo wapi ningependa niulizwe na muhitaji tu),nimeajiriwa,mnene wa wastani nimeumbika kike,sio mrefu sana,mwenye hofu ya Mungu.
Nahitaji mume umri 35-45,mkristo,anayefanya kazi,Mwenye mapenzi ya dhati,asitumie kilevi chochote.
NB:if your not serious usisogee pleasee.
HahahaaaaaaaaaUna chura kidogo Dada?? am searching for a long time
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona PM hujibu sasa?!
Mume asietumia Kilevi? Hapana kwa Kweli.. A Man is Complete with Wine..
Nina vigezo vyote ila nafanya kazi kiwanda cha bia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sio rahisi sana kuandika hapa,ila tunaandika kwa Imani tu kuwa Mungu atafanya coz mume/mke anapatikana popote:
In short natafuta mume umri wangu 27,mkristo,ni single mom(swali la baba ake yupo wapi ningependa niulizwe na muhitaji tu),nimeajiriwa,mnene wa wastani nimeumbika kike,sio mrefu sana,mwenye hofu ya Mungu.
Nahitaji mume umri 35-45,mkristo,anayefanya kazi,Mwenye mapenzi ya dhati,asitumie kilevi chochote.
NB:if your not serious usisogee pleasee.
Tupia picha hapo tuone mambo kama lweli umeumbika kile au lah!Sio rahisi sana kuandika hapa,ila tunaandika kwa Imani tu kuwa Mungu atafanya coz mume/mke anapatikana popote:
In short natafuta mume umri wangu 27,mkristo,ni single mom(swali la baba ake yupo wapi ningependa niulizwe na muhitaji tu),nimeajiriwa,mnene wa wastani nimeumbika kike,sio mrefu sana,mwenye hofu ya Mungu.
Nahitaji mume umri 35-45,mkristo,anayefanya kazi,Mwenye mapenzi ya dhati,asitumie kilevi chochote.
NB:if your not serious usisogee pleasee.
AminaMungu akutimiziehitaj lako
Amina dear...sometimes inasumbua kufungukaSawa upate hitaji la moyo wako mama pm. Huwa hamuendi
Amina dear....sometimes pm huwa inasumbuaSawa upate hitaji la moyo wako mama pm. Huwa hamuendi
Pole kwa changamoto ulizopitia, naomba uje PM,Amina dear....sometimes pm huwa inasumbua