Natafuta Mume

Sifa zote ninazo.
Ila najua tayari umeshapata mume.
Ningeliwahi ningelikutolea posa mwezi huu
 
kama bado hujapata na upo tayari kuwa mama mchungaji nistue.
 
DaDa mbinafsi ww hutaki atumie kinywaji kingine zaidi ya mbunye yako tu.......
Ndio maaana dadi ake mtoto alisepa na kijiji
 
"Awe anafanya kazi'..ata ya kuzibua vyoo??
 
Mwandiko wako mbona kama Wa kimwanafunzi saana? Hueleweki.

I hope utapata kila la kherii
 
Nipo tayari njoo tuyajenge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
0753041841 nichek..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…