oscar mwankina
Senior Member
- Feb 10, 2013
- 187
- 118
Sifa zote ninazo.Sio rahisi sana kuandika hapa,ila tunaandika kwa Imani tu kuwa Mungu atafanya coz mume/mke anapatikana popote:
In short natafuta mume umri wangu 27,mkristo,ni single mom(swali la baba ake yupo wapi ningependa niulizwe na muhitaji tu),nimeajiriwa,mnene wa wastani nimeumbika kike,sio mrefu sana,mwenye hofu ya Mungu.
Nahitaji mume umri 35-45,mkristo,anayefanya kazi,Mwenye mapenzi ya dhati,asitumie kilevi chochote.
NB:if your not serious usisogee pleasee.
Ila najua tayari umeshapata mume.
Ningeliwahi ningelikutolea posa mwezi huu