Natafuta Mume

Natafuta Mume

brightwoman

Member
Joined
Oct 15, 2015
Posts
17
Reaction score
15
Sio rahisi sana kuandika hapa,ila tunaandika kwa Imani tu kuwa Mungu atafanya coz mume/mke anapatikana popote:
In short natafuta mume umri wangu 27,mkristo,ni single mom(swali la baba ake yupo wapi ningependa niulizwe na muhitaji tu),nimeajiriwa,mnene wa wastani nimeumbika kike,sio mrefu sana,mwenye hofu ya Mungu.
Nahitaji mume umri 35-45,mkristo,anayefanya kazi,Mwenye mapenzi ya dhati,asitumie kilevi chochote.
NB:if your not serious usisogee pleasee.
 
Asitumie kilevi chochote ebu fafanua hapo....
 
huo umri sasa kwa mie kibenten kuufikia ndio ishu
 
umeajiriwa na kampuni binafs au tanzanian govmnt? na je baba wa mtoto bado mnawasiliana kama wazazi wenza? na mtoto ana umri gani au anasoma darasa la ngapi?
 
Back
Top Bottom