Natafuta Mume

Natafuta Mume

Sio rahisi sana kuandika hapa,ila tunaandika kwa Imani tu kuwa Mungu atafanya coz mume/mke anapatikana popote:
In short natafuta mume umri wangu 27,mkristo,ni single mom(swali la baba ake yupo wapi ningependa niulizwe na muhitaji tu),nimeajiriwa,mnene wa wastani nimeumbika kike,sio mrefu sana,mwenye hofu ya Mungu.
Nahitaji mume umri 35-45,mkristo,anayefanya kazi,Mwenye mapenzi ya dhati,asitumie kilevi chochote.
NB:if your not serious usisogee pleasee.
NATAFUTA MCHUMBA WA KIKE

Naomba niwaunganishe
 
Mzazi mwenzio si uongee nae mfunge ndoa unless hayupo duniani......

Vinginevyo nasikia single mamas mnakuaga na tabia mbaya
 
Kama naona vile msururuuuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mume asietumia Kilevi? Hapana kwa Kweli.. A Man is Complete with Wine..
 
Hapo kwenye 35 - 45 wameshaoa hao. Tafuta Ki ben 10
 
Ukipata mume kama wa fey tz au wa irene uwoya hutaki??

akiwa na umri kama wako lakini akiweza kuyatimiza yote mume anayotakiwa kufanya pia humtaki??
Acha maswali kama unavigezo wahi fursa hyo jirani si unataka mwenza
 
ningependa niulizwe na muhitaji tu),nimeajiriwa,mnene wa wastani nimeumbika kike aisee
 
Back
Top Bottom