Natafuta mume

Status
Not open for further replies.
Pole Sana ndio maisha na ninaamini umejifunza
 
Ilikuwaje ukaachwa sasa km unajua kupenda..??

Bila shaka u mdangaji tu, umeliwa weeh sasa hivi unajidai kutafuta mume..!
 
Daah pole sana..!! Inasikitisha sana, Life hili daah
 
Dada mkija kutafuta waume muwe mnakuja na ID za ukweli, ukija na majina ya uongo kila mwanaume atakuona ni mwongo na sio mwaminifu pia ni bora ungeweka mawasiliano yako hadharani, ni ngumu sana kuwasiliana pm
 
Dada mkija kutafuta waume muwe mnakuja na ID za ukweli, ukija na majina ya uongo kila mwanaume atakuona ni mwongo na sio mwaminifu pia ni bora ungeweka mawasiliano yako hadharani, ni ngumu sana kuwasiliana pm
Kaka mbona ww huna Id official?
Hii ni Jamii forum "where we dare to talk openly" tunaishi na kujadili kwa kujificha humu kuna maafisa wa usalama wa nchi,viongozi wengi wa serikali unataka aweke wazi yeye ni nani ashughulikiwe?
 
Mtmbj nipo njoo pm, najua umekosa huduma hii pia. Wakat unaendelea na mchakato wako
 
Mi nipo single nna 34 yrs nimhitimu wa form six ila tu uchumi wangu mbovu licha bado na pambana
 
Maelezo yako hayaeleweki. Asiwe na mahudiano yeyote maana yake nini?
 
Mimi nakupa kazi kwanza nikuangalie ukipata mshahara unakuwaje maana mnajulikana tabia zenyu mkishakuwa na kazi na vijimishahara, ukizingua unarudi kuendelea kuchati jf.....okay? Kama uko tayari njoo whatsapp tuongee 0758 52409
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…