Natafuta mume

Natafuta mume

Status
Not open for further replies.
Usiniumize kaka sikupenda hli litokee na nimehangaika sana binafsi mpaka sasa nina uchungu na ninaon aibu nimeharibu kazi,nimeharibu maisha,ndugu wamenitenga nimekuwa na maisha hayakko sawa faraja yangu ni mwanangu na mume inauma sana kuitumikia familia na kuwajali kama wako wakakugeuka na kusahau kila kitu mbaya zaidi na mtoto wamekuachia wamekutesa toka mimba mpaka umejifungua
Umesha mpata?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni msomaji mzuri wa humu muda mrefu sana,najitokeza kwenu kutafuta mume ambae yuko tayari kwa ndoa na kupima ukimwi.
Wasifu.
Ni mama wa mtoto mmoja.
Naishi Dar es salaam.
Elimu yangu chuo kikuu japo kwa sasa sina ajira.
Umri wangu miaka 30.
Mkristo.
Mwanaume nimtafutae.
Kuanzia miaka 32.
Awe anajitambua na ajue nini maana ya mke na familia na amkubali na kumpenda mwanangu kama mwanae wa kumzaa
Awe tayari kupima ukimwi.
Nahitaji mwanaume aliekuwa serious muda wa kupotezeana sina asiwe na mahusiano yoyote anipende sana na kunilea kama yai maana mie najua kupenda sana na ninajua nini maana ya mwanaume.
Karibuni
Baba wa mtoto akirudi itakuwa je sasa maana mmmh , ni juzi tu tumeweka uzi humu mdada wa kigamboni alichotufanyia pamoja na kumpenda isiwe kama yale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ameoa mwanza na

hatuna mawasiliano alitutelekeza nimeumia kwa mda mrefu sana sasa na mimi ni wakati wangu kupata mume
Tupe mawasiliano ya aliyekuwa mzazi mwenzio atuhakikishie hampo pamoja tena maana nyie single mothers mna tabia ya kurudiana

Sent from my Iphone using Tapatalk
 
Usiniumize kaka sikupenda hli litokee na nimehangaika sana binafsi mpaka sasa nina uchungu na ninaon aibu nimeharibu kazi,nimeharibu maisha,ndugu wamenitenga nimekuwa na maisha hayakko sawa faraja yangu ni mwanangu na mume inauma sana kuitumikia familia na kuwajali kama wako wakakugeuka na kusahau kila kitu mbaya zaidi na mtoto wamekuachia wamekutesa toka mimba mpaka umejifungua
[emoji24][emoji24][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom