Natafuta mume

Natafuta mume

Status
Not open for further replies.
Natafuta mume rejea tangazo la nyuma, najua mtajiuliza mbona sijapata asilimia 99 wanaotaka mawasiliano wanataka ngono hivo naishia kukata mawasiliano, nimekutana na mmoja tu mara moja ila hatujafika muafaka, sijakata tamaa bado natafuta.
Njoo pm tuyajenge mimi pia natafuta mke ila masharti na vigezo huzingatiwa kwa pande zote mbili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natafuta mume rejea tangazo la nyuma, najua mtajiuliza mbona sijapata asilimia 99 wanaotaka mawasiliano wanataka ngono hivo naishia kukata mawasiliano, nimekutana na mmoja tu mara moja ila hatujafika muafaka, sijakata tamaa bado natafuta.
Mwanamke itachacha hiyo kitu, wanaume hadi waonje ndo watakubali we unataka kuwauzia vijana mbuzi kwenye gunia wakikuta ni nguruwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"wewe ni mama" uchi umepewa bure unaubania wa kazi gani? hata ningekua mimi siwezi kudate na mwanamke nisimtie haiwezekani!! au unaogopa watakachokutana nacho?
 
Natafuta mume rejea tangazo la nyuma, najua mtajiuliza mbona sijapata asilimia 99 wanaotaka mawasiliano wanataka ngono hivo naishia kukata mawasiliano, nimekutana na mmoja tu mara moja ila hatujafika muafaka, sijakata tamaa bado natafuta.
Na Mimi muuza majeneza naweza kukufaa?
Halafu elimu yangu darasa la nne

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha eti anataka ngono, sasa mume unamtaka wa nini kama hutaki ngono? Au wanaume siku hizi ni mapambo

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda anataka aolewe kwa misingi ya kidini yaani hamna kubanjuana mpaka mfunge ndoa halafu baada ya mwezi aje hapa kulalamika kuwa mme ana kibamia au hasimamishi kabisa.
Try before use ndio mpango mzima
#Mzee baba legeza kidogo huku kitaani hali mbaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom