Natafuta mume

Natafuta mume

Status
Not open for further replies.
Hadithi zenu zinafanana,Siku mbili nyingi oooh baba wa mtoto amekuja kumsalimia.Mara nampeleka kwa baba yake amuone.Huko huko na mimba nyingine juu.
ushawahi kuona mjamzito wa miezi 6 anataka agongwe na gari sababu ya aliyempa ujauzito na yeye anachekelea?Nimenusurika kufa,nimedhihakiwa,nimetukanwa,nimepigwa nimepoteza mali mwanangu kapewa roho ya kukataliwa hata kabla hajaja duniani naimani mpaka sasa nipo hai ni kwa sababu ya bguvu ya Muumba aliyejuu
 
Ila post yako ya kwanza tu unatafuta mume, kwa nn usingevumilia kidogo humu jf ndio badae utafute
 
Utapata Dada..ila kua makini na minyang'au ya humu.... Inapenda wepesi sana.


Siku magu akilegeza, wadada wataolewa sana .
 
[emoji23][emoji23][emoji23] msururu inbox loading............................
Ila na wewe uwe mzuri tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ameoa mwanza na

hatuna mawasiliano alitutelekeza nimeumia kwa mda mrefu sana sasa na mimi ni wakati wangu kupata mume
Alikutelekeza......Je moyoni mwako bado yupo?... na hata akirudi sasa hivi mnaweza kuyaanzisha upya?.....!

Kuna kitu Wanawake wengi sana mnakosea, nacho ni kuzaa na mwanaume ambaye hajakuoa, hilo ni kosa kubwa sana. Mnajiaribia maisha yenu wenyewe kwa matendo yenu ya tamaa.

Anyways, kila la kheri katika kutafuta Mume, nisiandike mengi nikawakatisha watu wengine tamaa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom