Natafuta mume

Status
Not open for further replies.
Pole sn Dada nakuelewa kiasi fulan,ila usikate tamaa,na uyo kivuruge aliyekusababishia ayo n muda wa kumsameh na kumfuta kchwan kwako kkabbsaaaa...

Kuanzia now vaa sura yenye tabasamu muda wote, pendeza San jipende, pia uwe unatembea tembea kdog uonekane, pia usionyeshe sn kuwa u ar so desperate to get married, I mean usijishushe kivile kisa n single mom,bado unathaman San ,

Nna ndugu yng kaolewa na kwa mahari nzuri tu m2 na ye alikuwa. Single mom wa watoto wa2 kwa wanaume tofaut...nakupa mfano hhuu ili ucje kkukata tamaa .

Mungu atakubariki utapata mume atayeijua thaman yko[emoji11] [emoji11]
 
Aliekata utepe alishindwa kukulea kama yai,.. Unataka sisi tunaokutana makombo ndo utufanye mdumange?
 
Ungeweka na picha yako kutushawishi so PM tunakujaje hatujajua rangi ya chungwa ...
 


Unafikiri kwa nini yamekukuta hayo ?

Je hakuna sehemu uliyowahi kukosea ?
 
kama lipi kaka
Dini na umri kama unataka ulelewe wewe na mwanao...
Dini ule upande wa pili Waislam wao kiimani watakustili kwa mujibu was ubinadamu wao..
Umri ndio hivyo wazee wengi wana kitu adimu ambacho sisi vijana atuna nacho ni roho nzuri na safi wanapofanya maamuzi yanakuwa ya kweli haswa...
Wanja wako kusuka au kunyoa,,,
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…