Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msidharau hizi tahadhari,ikiwezekana mpitie hizo thread kabla ya kufanya maamuzi...single maza wamerudi kwa kasi ya 4g!
kuna uzi humu unaelezea madhira ya single mam, vijana mkuwe makini
Kwani hakuna njia za kufuata dada yangu huyu bwana amchukue mtoto??Kwani alivyokua anakojoa alidhani ni uji huo??Sorry Lakin kwa kutumia maneno makali.Mungu akupe hitaji la moyo wakobaba yake hamtaki tokea mimba,kasema akikua mtoto atamtafuta ila yeye hataki mtoto wala hawezi kumtafuta
Bby una deni bodi ya mikopo kiasi gani?Mimi ni msomaji mzuri wa humu muda mrefu sana,najitokeza kwenu kutafuta mume ambae yuko tayari kwa ndoa na kupima ukimwi.
Wasifu.
Ni mama wa mtoto mmoja.
Naishi Dar es salaam.
Elimu yangu chuo kikuu japo kwa sasa sina ajira.
Umri wangu miaka 30.
Mkristo.
Mwanaume nimtafutae.
Kuanzia miaka 32.
Awe anajitambua na ajue nini maana ya mke na familia na amkubali na kumpenda mwanangu kama mwanae wa kumzaa
Awe tayari kupima ukimwi.
Nahitaji mwanaume aliekuwa serious muda wa kupotezeana sina asiwe na mahusiano yoyote anipende sana na kunilea kama yai maana mie najua kupenda sana na ninajua nini maana ya mwanaume.
Karibuni
hapana sidaiwiBby una deni bodi ya mikopo kiasi gani?
Nioe mwanamke alie zaa????
Labda Kama waschana wameisha
Kwa hii dunia
Kuna baadhi ambao nawafahamu wapo vizuri sanaAcha uongo aisee, kuoa single maza ni kujitafutia matatizo mkuu, wewe umekosa nin kwa Mungu mpaka uoe single maza? Ina maana watoto wabichi wameisha? Single maza apambane na hali yake au atafute single faza(tena yule ako na watoto zaidi ya wawili) basiiii
[emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]muone[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] utasikia wanasema yote maisha bora uzima tu!!
Pole sana maa,Mungu akupe hitaji la moyo wakoushawahi kuona mjamzito wa miezi 6 anataka agongwe na gari sababu ya aliyempa ujauzito na yeye anachekelea?Nimenusurika kufa,nimedhihakiwa,nimetukanwa,nimepigwa nimepoteza mali mwanangu kapewa roho ya kukataliwa hata kabla hajaja duniani naimani mpaka sasa nipo hai ni kwa sababu ya bguvu ya Muumba aliyejuu
Ufwima jinyonyi?nipo siti ya mbele kabisa
Hahaha nn sasa carba[emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]muone