Natafuta mume

Natafuta mume

Status
Not open for further replies.
baba yake hamtaki tokea mimba,kasema akikua mtoto atamtafuta ila yeye hataki mtoto wala hawezi kumtafuta
Kwani hakuna njia za kufuata dada yangu huyu bwana amchukue mtoto??Kwani alivyokua anakojoa alidhani ni uji huo??Sorry Lakin kwa kutumia maneno makali.Mungu akupe hitaji la moyo wako
 
Mimi ni msomaji mzuri wa humu muda mrefu sana,najitokeza kwenu kutafuta mume ambae yuko tayari kwa ndoa na kupima ukimwi.
Wasifu.
Ni mama wa mtoto mmoja.
Naishi Dar es salaam.
Elimu yangu chuo kikuu japo kwa sasa sina ajira.
Umri wangu miaka 30.
Mkristo.
Mwanaume nimtafutae.
Kuanzia miaka 32.
Awe anajitambua na ajue nini maana ya mke na familia na amkubali na kumpenda mwanangu kama mwanae wa kumzaa
Awe tayari kupima ukimwi.
Nahitaji mwanaume aliekuwa serious muda wa kupotezeana sina asiwe na mahusiano yoyote anipende sana na kunilea kama yai maana mie najua kupenda sana na ninajua nini maana ya mwanaume.
Karibuni
Bby una deni bodi ya mikopo kiasi gani?
 
Acha uongo aisee, kuoa single maza ni kujitafutia matatizo mkuu, wewe umekosa nin kwa Mungu mpaka uoe single maza? Ina maana watoto wabichi wameisha? Single maza apambane na hali yake au atafute single faza(tena yule ako na watoto zaidi ya wawili) basiiii
Kuna baadhi ambao nawafahamu wapo vizuri sana
 
Hahahaha huna ajira kwasasa naunataka ulelewe kama yai!!! Njoo pm basi ila degree sina
 
ushawahi kuona mjamzito wa miezi 6 anataka agongwe na gari sababu ya aliyempa ujauzito na yeye anachekelea?Nimenusurika kufa,nimedhihakiwa,nimetukanwa,nimepigwa nimepoteza mali mwanangu kapewa roho ya kukataliwa hata kabla hajaja duniani naimani mpaka sasa nipo hai ni kwa sababu ya bguvu ya Muumba aliyejuu
Pole sana maa,Mungu akupe hitaji la moyo wako
 
Unauhakika Kama Ulimpotezea huku???[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom