Natafuta mume

Natafuta mume

Status
Not open for further replies.
huyu dada anahitaji mume serious, tatzo ni huyo mtoto sasa….
na atakayempata huyu kwa maumivu aliyopitia anaweza kuwa mke sahihi kabisa.
 
Mtoto ulimpataje wakati hutaki ngono!!? Hebu acha kujaza saver humu, uliwe huko miaka yote leo hii utake kumuuzia mtu Mbuzi kwenye gunia! Hahahaaa, kolo tu ndo atakubali mpitishe wiki mbili bila kukula.
 
Mwanamke pekee ninae weza kukubali kuowa bila kuonja ni bikra tu kama unajijua sio bikra kupimana lazima ninaweza nikakuta bwana ambalo hata uogelee na mikono umetanua hufiki kingo zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiniumize kaka sikupenda hli litokee na nimehangaika sana binafsi mpaka sasa nina uchungu na ninaon aibu nimeharibu kazi,nimeharibu maisha,ndugu wamenitenga nimekuwa na maisha hayakko sawa faraja yangu ni mwanangu na mume inauma sana kuitumikia familia na kuwajali kama wako wakakugeuka na kusahau kila kitu mbaya zaidi na mtoto wamekuachia wamekutesa toka mimba mpaka umejifungua
The problem is kujifunza kwny mahusiano wanawake inawachukua mda sana cjui kwnn BTW pole sana ila utapata tuh kua mvumilivu sbbu mtafutaj hachoki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom