Natafuta Mume

Natafuta Mume

Habari za humu
Natafuta mume mwenye sifa zifuatazo

Umri 27-34
Elimu si kigenzo cha mume bora
Pesa inatafutwa
Dini muhimu kuwa mkristo safi
Kingezo kikubwa na cha Muhimu Mcha Mungu na Mwenye upendo wa kweli.

Note:Usiwe umeacha mke au umezalisha mtu .
Sitaki kuumiza mwanamke mwenzangu kama vile ambavyo na mimi sipendi kuumizwa.

Mimi
Age yangu:25-28
Elimu:Chuo
Kazi:ninayo
Dini:miristo
Mimi natimiza igez ulivyoweka, naomba kwa upande wako unitumie vipimo vyako vitatu kama ifuatavyo:-
1. Size ya kifua
2. Size ya kiuno
3. Size ya mapaja.
Karibu hata pm.
 
Kwanini inakua ngumu sisi vijana wa chini ya 28 kupata mpenzi na hatimaye mke?

Tunaonekana hatuna future au?
 
Leo nimekutana na kinamama flani siwafahamu. Lakini katika mazungumzo nilisikia wanasema, haolewi kwasababu anakataa sana wanaume!!
 
Habari za humu
Natafuta mume mwenye sifa zifuatazo

Umri 27-34
Elimu si kigenzo cha mume bora
Pesa inatafutwa
Dini muhimu kuwa mkristo safi
Kingezo kikubwa na cha Muhimu Mcha Mungu na Mwenye upendo wa kweli.

Note:Usiwe umeacha mke au umezalisha mtu .
Sitaki kuumiza mwanamke mwenzangu kama vile ambavyo na mimi sipendi kuumizwa.

Mimi
Age yangu:25-28
Elimu:Chuo
Kazi:ninayo
Dini:miristo
Unakuaje na umri wa miaka 25 hadi 28? Umri wako ni Variable? Au hujui siku yako ya kuzaliwa? Au unaetaka kuolewa sio wewe unao wengi mtua achague
 
Mimi ni mcha Mungu nina vigezo vyote, nipo tayari kukupenda kwa dhati, nitakutunza nasita kusaliti kamwe, kwa sasa nipo Dar es salaam naokota makopo kwa siku nina uhakka wa kuingiza Tsh. 3000 na uhakika tukichanganya nazakwako familia yetu itakua bora, wako mtiifu nakuja Pm.
 
Kigezo cha asiwe amezalisha MTU kinakupunguzia uwezekano Wa kumpata. Umri wako huo Wa 25-28 ni mkubwa sana. Hivyo ni vigumu kukutana na mwanaume ambaye hajawahi kuwa na mke au hana mtoto kabisa. Lingalie hilo Dada.
 
Back
Top Bottom