Natafuta Mume

Kigezo cha asiwe amezalisha MTU kinakupunguzia uwezekano Wa kumpata. Umri wako huo Wa 25-28 ni mkubwa sana. Hivyo ni vigumu kukutana na mwanaume ambaye hajawahi kuwa na mke au hana mtoto kabisa. Lingalie hilo Dada.
Mbona tupo wengi! Ila akifungua PM yake unijulishe inaweza yangu bahati hii
 
Daa haya buana,mim najua sehem sahihi ya kutafuta Mme ni church au msikitin,
 
 

daah kama zari qulifications zote nnazo ila umaskini umezidi kwangu njoo tegeta tumalize kipindi wife to b linambalangu hiloooo nila hiyana hata whatsapp nipogo 0655079119
 
Una elimu ya chuo au chuo kikuu!?
Make una tafuta mume badala ya boyfriend au mchumba.
Kutafuta mume ina maana alishakuoa akakutelekeza.
 
Una elimu ya chuo au chuo kikuu!?
Make una tafuta mume badala ya boyfriend au mchumba.
Kutafuta mume ina maana alishakuoa akakutelekeza
 
[emoji6] Miristo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lugha zake, mtindo wa uandishi hivyo vyote unalinganisha na umri wa akaunti yake kisha unapata majibu unajua ni mkongwe au mgeni
Ukiweza kunitajia id yangu nyingine naacha rasmi kumiliki id mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…