Natafuta Mume

Natafuta Mume

Mkuu, hadi tunafika hapa wahenga tulikwepa mishale mingi humu jamvini. Lakini tunaheshimiana sana kuliko ninyi vijana wa dot com....tehteehh
Ingawa sijajua maana ya kijana wa dot.com kwa maana ya post. Lakini mara nyingi sina uhakika kuwa mtu fulani au id fulani imekuja tena labda kwa spesho cases lakini hizi za uchumba au kwa namna alivyo andika huyu anaonesha si mgeni ila kumjua ni mtu fulani hapo nimekwama. Labda I don't pay attention it needed
 
Back
Top Bottom