Natafuta mume

Itakua ameshampata aliyemtaka.
Mmmh! Haraka haraka hivyo? Labda kwavile hakutaka mswahili kwahiyo atakuwa amempata asiye na longo longo vinginevyo sio rahisi kihivyo!
 
Mmmh! Haraka haraka hivyo? Labda kwavile hakutaka mswahili kwahiyo atakuwa amempata asiye na longo longo vinginevyo sio rahisi kihivyo!
itakua hivyo maana kuna mmoja walikua wanakaribishana pm, labda kaogopa watakua wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…