Natafuta mume

Natafuta mume

we ni nani kwanza? umekosa huko unakuja kulialia huku
 
Natafuta mwanaume umri kuanzia miaka 30
Awe na kazi
Awe anamcha MUNGU
Asiwe mswahili swahili

Sent using Jamii Forums mobile app
Huku huwa unaweka na sifa zako unaunganisha na
1.Cheti cha STD VII
2.Cheti cha CSEE
3.Cheti cha ACSEE
4.Cheti cha Chuo (University Transcript)
4.Picha yako Ukiwa Unaonekana Full

Ili wanaJF tujudge wewe ni Mwanamke wa Aina Gani!
 
Usimtishe bhana hii ni blinddate

mwanza kwetu
 
Ukimpata ukuje tena hapa kwa mrejesho.
Tahadhari,wanaume wachache wanapenda kulelewa hata kama wana kazi.
 
Back
Top Bottom