Bila digriii hupati nke[emoji23]Mh dunia imeshika hatamu hata kwenye ndoa Degree Jamani Someni.
Weka kapichaHabari wana jamvi, mimi natafuta mume mwenye sifa zifuatazo
Umri kuanzia miaka 31 - 40
Color : Any
Tribe : Any
Education : Degree na kuendelea
Religion : Christian
Kabila : Asiwe mchaga au wa pwani
Kazi : Awe mfanya kazi au amejiajiri
Awe na heshima
Kuhusu mimi
Age : 27
Education: Degree
Color : Chocolate
Kazi : Employed
Vingine tutaulizana..aliyetayari aje PM tuongee...kama unaishi Dodoma itakua added advantage as nategemea kuhamia huko soon
Bila digriii hupati nke[emoji23]
Uliyajuaje hayo? Ulishaolewa na mchaga akakutreat hivyo?Wachaga hawako romantic, and ni wabahili, kama mwanamke unahela utajuta, anakuchuna na kukutegemea kabisaaa
Mume anatafutwa wapi Mshindi Zaidi?Hii Ndoa nategemea ukimpata mtu mtadumu Sanaa miaka mitatu au miwili kutafuta Mume wa Maisha kwenye mitandao? Duuuuu pole sana
Unajua Maana ya Mume au Masihala tu
We si umeoa?[emoji15] [emoji15] [emoji15]PM yangu umeiona!!??
[emoji23] [emoji23]Kwa ikizama inauliza Elim
Churaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Chura ipo?
Bint unataka pesa au vyeti?Wenyepesa kama King Musukuma kanda ya ziwa hata darasa LA 7 hajafika.Shauri yakoHabari wana jamvi, mimi natafuta mume mwenye sifa zifuatazo
Umri kuanzia miaka 31 - 40
Color : Any
Tribe : Any
Education : Degree na kuendelea
Religion : Christian
Kabila : Asiwe mchaga au wa pwani
Kazi : Awe mfanya kazi au amejiajiri
Awe na heshima
Kuhusu mimi
Age : 27
Education: Degree
Color : Chocolate
Kazi : Employed
Vingine tutaulizana..aliyetayari aje PM tuongee...kama unaishi Dodoma itakua added advantage as nategemea kuhamia huko soon
Ishatumika na kusagika...Kumbe kityu "used" kipo sokoni!View attachment 864220
Na bila shaka ni govt. employeeKumbe kityu "used" kipo sokoni!View attachment 864220
Kwani huko PM ni kutongozana tu?We si umeoa?[emoji15] [emoji15] [emoji15]
I see[emoji15] [emoji15] ...mbona maneno makali hivooHahahaha! Hivi alishazaaaa??
Singo maza huyu non marketable.
Halafu analia lia na kadi ya NHIF that means ni ajira ya serikalini. Endelea tu mama kuzaa bila ndoa. Mwanaume mwenye akili timamu hawezi oa mwanamke aliyezaa nje ya ndoa.
Huyu anajua hana uwezo wa kupata mchaga.Uliyajuaje hayo? Ulishaolewa na mchaga akakutreat hivyo?
Haaaaahaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mama ungeweka nasifa za moyon sasa, izo za nje wanaume hua hawazioi !!
Maana una elimu/kazi lkn atakukuta una tabia mbovu mbovu tu ... Huon ni tatizo??? .
Alafu kama nimimi Umeshafel,, Haiwezekan mwanamke Humjui Mungu... Ungemchomekea tu hata km humjui.