Natafuta mume

Tribe : Any
Education : Degree na kuendelea
Religion : Christian
Kabila : Asiwe mchaga au wa pwani
Mkuu mbona hapo kwenye tribe(kabila) umejichanganya? Hapo juu umeandika tribe; any, kisha hapa chini unasema tena asiwe Mchaga au wa Pwani?

Anyways, nakutakia kila la heri umpate Mume atakayekufaa maishani.
 
Kwani hujaelewa? Asante
 
Mkuu, PM yangu umeiona...[emoji30][emoji30][emoji30]
 
OK hata kondoa ni Dodoma pia
 
Unataka mwenye Degree yenye GPA ya ngapi ? Mimi nina GPA ya 32, je nitakufaa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…