Natafuta mume

Uzi umechangiwa sana, hii nafasi bado ipo kwelii!!?

Ajira jam hadi huku napo jam waungwanaa!!?
 
Nimepita chap kama mtuhumiwa anvyopitaga kituo cha police kabla hajakamatwa
 
Umekariri vibaya rafiki yangu. Nikwambie tu si wote. Kuna wale wachaga waliozakiwa na kukulia mjini, i mean mikoa mingine.. wako vizur na hayo mambo hawana japo ni watafutaji

Mchaga si bahili bali ni mtu wa ratiba, kama mchaga angekuwa bahili Desemba asingepoteza pesa yake kurudi moshi, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
wewe pia umechunguza adi ukapata vigezo vya mwanaume unaemtaka ,sasa na wao pia wanachunguza ili wajue kuwa anataka kuolewa ana vigezo gani
Ndivo inavokua ivo...ulitaka wabebe tu
 
Karibu sana Dodoma nikutafutie na nyumba kabisa
 
Wasomi fursa hiyo hapoo...tulioshia std 7 hadi f6 imekula kwetu, tumekosa fursa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…