Natafuta mume

Natafuta mume

Kwani wewe wa wapi... Maana huwezi kukataa watu wa pwani, na wachaga.. Bila wewe mwenyewe kueleza ni wa wapi...
 
Haya wenye degree fulsa hizo sisi wa darasa la 7 Mungu ataleta wasio leta wenzetu
 
Back
Top Bottom