- Thread starter
- #21
Ha ha ha...maombi yamejibiwa.karibu sanaleo niliamka nikiwa na wazo la kutafuta mke, naona sala zangu ndio kama hivi zimejibiwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha...maombi yamejibiwa.karibu sanaleo niliamka nikiwa na wazo la kutafuta mke, naona sala zangu ndio kama hivi zimejibiwa.
Wachaga hawako romantic, and ni wabahili, kama mwanamke unahela utajuta, anakuchuna na kukutegemea kabisaaaKwann dada unasema hivyo? Anzia hapo kwa wachaga
Baba wa mtoto wako mmeachana?Ha ha haaa ndio , salama salimini
Hayupo ndioBaba wa mtoto wako mmeachana?
Rudi skuliAmbao tulikimbia umande tutapata tabu sana
Kwani we hujakidhi hvyo vigezo shemelaEndelea kutafuta
Kwani muhusika yuko wapi au kuna mgogoro kati yenu uliopelekea ukabaki mwenyewe?Ha ha haaa ndio , salama salimini
Mi ni mwoaji ila heb regeza hapo kwenye dini bhanaaaaHayupo ndio
Mbona uko interested na yaliyopita hivo...Kwani muhusika yuko wapi au kuna mgogoro kati yenu uliopelekea ukabaki mwenyewe?
HeheheAcha wasomi waotafutane kwanza
HapanaMi ni mwoaji ila heb regeza hapo kwenye dini bhanaaaa
Ni vyema kujua picha halisi hata kama mtu anafanya maamuzi awe ana a,b,cMbona uko interested na yaliyopita hivo...
😂👊🏿🙌🏿 jf burudani sana!Ok watakuja pm ila me nilikuwa nauliza tu kama ulijifungua salamaView attachment 863798
Wewe hata kuandika hujuiMi ni mwoaji ila heb regeza hapo kwenye dini bhanaaaa
Sana sana[emoji23][emoji1534][emoji1544] jf burudani sana!
Labda anataka awe free siyo anakuchukua baadae ashikwe ugoniMbona uko interested na yaliyopita hivo...
😂😂bila degree huoi, naenda shule na mimi ili nifikie vigezoMh dunia imeshika hatamu hata kwenye ndoa Degree Jamani Someni.