Natafuta mume

Natafuta mume

Na kwanini wahitaji aliyesoma... Kwani ambao hawajasoma hawawezi kuoa ambao wamesoma...
 
Hii Ndoa nategemea ukimpata mtu mtadumu Sanaa miaka mitatu au miwili kutafuta Mume wa Maisha kwenye mitandao? Duuuuu pole sana
Unajua Maana ya Mume au Masihala tu
 
Wewe hata kuandika hujui
Mimi ni mwoaji/muoaji ila hapo kwenye dini hebu regeza/legeza bwana

Kuna matumizi ya lugha rasmi na yasiyo rasmi... nmetumia yasiyo rasmi lakini kwa namna tunavyopendelea kuongea. Mfano 'tamu' ni neno rasmi lakini tunapendelea kusema 'tam'
 
Wachaga hawako romantic, and ni wabahili, kama mwanamke unahela utajuta, anakuchuna na kukutegemea kabisaaa
Umekariri vibaya rafiki yangu. Nikwambie tu si wote. Kuna wale wachaga waliozakiwa na kukulia mjini, i mean mikoa mingine.. wako vizur na hayo mambo hawana japo ni watafutaji
 
Back
Top Bottom