Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!Ok watakuja pm ila me nilikuwa nauliza tu kama ulijifungua salamaView attachment 863798
Dont judge , use your common sense, Think, acha kubwabwaja, balance comment yakokitendo cha kupewa mimba na kuzaa then divoced!! ni ishara you have problem somewhere!! so hatutaki used cc na bachelor zetu bhana!! umeona wapi mechi kabla haijaanza mwenzio tayari kashashinda goli moja!!!
hatutaki useddddd
ni kwasababuMmmmh
Why degree
Acha kukremishaeeh wee wataka mwenye degree. wewe nikwambie chanzo kikubwa cha matatizo ndani ya ndoa ni ukosefu wa pesa ....na kukosa degree hakujawahi kuwa chanzo cha ndoa kulegalega.
wee tafuta msukuma mgegedaji mzuri na mwenye mihela maisha yanaenda. degree karatasi bwana muulize billgates na jamaa wa facebook
Acha kukremisha
Tatizo lako hujanielewa nachotaka , kama vp potezea basiWee Seema kukremisha haya mambo ya ndoa hayanaga degree ingekuwa degree ndio main factor basi now ndio kungekuwa na ndoa imara kuliko huko zamani but the opposite is happening
huwezi ku evaluate mtu kwa picha tu. jichunge sanaKuuziana mbuzi kwenye gunia hii weka kapichamo mama. Tufanye valuation.
Kuchuja muhimu sanaMi nadhani bora mtu useme natafuta mume na uweke sifa zako ww mwombaji tu. Generally wanawake huwa approched halafu yeye ndo anaamua aacept au areject offer.... Ss ukimwekea vgezo anaekufata hatakuja
Bora km umeamus kuita..uwaite waje uchague uende zako.
labda uweke tu kigezo cha umri na diniKuchuja muhimu sana
No yani Tangazo langu liko hivo hivo lilivo usitake kuli editlabda uweke tu kigezo cha umri na dini
hivyo vingine acha.
Ivi mpaka leo kuna watu bado mnatambika duhHuu ubaguzi wa kabila unataka kutambika?
Hakati tamaa mtu hapaMume mwenye sifa hizi anahitajika - JamiiForums
Kwa kuwa bado hujakata tamaa, utafanikiwa kumpata. Kila la kheri nakutakia.
Kweli ukiwa muongo lazm uwe na kumbukumbu,au basi tufanye yuko sahihi ila mbona hajasema km amewahi kuzaa au kubeba ujauzito au katelekezwa ndio anatafuta kwa kufia!Ok watakuja pm ila me nilikuwa nauliza tu kama ulijifungua salamaView attachment 863798