Natafuta mume

Leo ndo kaingia jf na kutaka nchumba kabisaaa weee mtambooo muogope Mungu
 
Nipe mawasiliano yako tafadhali, nipo tayari kukuoa
 
Sio kila fursa ni fursa kwako ujue, pengine unaweza kugeuzwa fursa.
Angekua serious I'd isingekua mupya.
Umenena vyema. kwanzan kabisa sifa za mtu anaehitaji lazima awe mvumilivu na mwenye upendo kwa ndugu zake; ukiitafakari kwa mapana hii sentensi utagundua kuwa wewe ndio utageuzwa fursa.
 
Chonga wa kwako
 
AWE MVUMILIVU!!!!!


Kuna maajabu gani uliyonayo mama wewe ambayo mme huyo inatakiwa ayavumilie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…