Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
Sio kila fursa ni fursa kwako ujue, pengine unaweza kugeuzwa fursa.Changamkieni fursa ....wanaume wa sikuhizi jamani doooh
Angekua serious I'd isingekua mupya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kila fursa ni fursa kwako ujue, pengine unaweza kugeuzwa fursa.Changamkieni fursa ....wanaume wa sikuhizi jamani doooh
Kama Taifa stars vilePost ya kwanza alafu ameanza na kuharibu
Khe unamjua?????We jamaa bana, hivi huoni aibu?
Ndo hapo sasaKhe unamjua?????
hii ndo posti iliyokugusa kuna kitu apaNdo hapo sasa
ha ha ha haSubiri “uolewe.”
Habari zenu! mimi ni binti wa miaka 24 ninaishi dar es salaam. Natafuta mwanaume au mume mwenye uvumilivu awe na upendo kwangu pamoja na ndugu zangu pia nitampenda awe amejiajiri au kuajiriwa sio mrefu sana kiasi tu, maji ya kunde, asiwe mnene sana awe wastani aje PM kwa maelezo zaidi
Umenena vyema. kwanzan kabisa sifa za mtu anaehitaji lazima awe mvumilivu na mwenye upendo kwa ndugu zake; ukiitafakari kwa mapana hii sentensi utagundua kuwa wewe ndio utageuzwa fursa.Sio kila fursa ni fursa kwako ujue, pengine unaweza kugeuzwa fursa.
Angekua serious I'd isingekua mupya.
Chonga wa kwakoHabari zenu! mimi ni binti wa miaka 24 ninaishi dar es salaam. Natafuta mwanaume au mume mwenye uvumilivu awe na upendo kwangu pamoja na ndugu zangu pia nitampenda awe amejiajiri au kuajiriwa sio mrefu sana kiasi tu, maji ya kunde, asiwe mnene sana awe wastani aje PM kwa maelezo zaidi
We bwege nn ben 10 wa nn mm baada ufikirie maisha unataka kuwa kiben 10 utakuja pigwa mtungo ww usipende vya bure
ko wewe ndo unataka vya bure,,,,uongo??We bwege nn ben 10 wa nn mm baada ufikirie maisha unataka kuwa kiben 10 utakuja pigwa mtungo ww usipende vya bure
AWE MVUMILIVU!!!!!Habari zenu! mimi ni binti wa miaka 24 ninaishi dar es salaam. Natafuta mwanaume au mume mwenye uvumilivu awe na upendo kwangu pamoja na ndugu zangu pia nitampenda awe amejiajiri au kuajiriwa sio mrefu sana kiasi tu, maji ya kunde, asiwe mnene sana awe wastani aje PM kwa maelezo zaidi