Natafuta mume

Natafuta mume

Habari zenu! mimi ni binti wa miaka 24 ninaishi dar es salaam. Natafuta mwanaume au mume mwenye uvumilivu awe na upendo kwangu pamoja na ndugu zangu pia nitampenda awe amejiajiri au kuajiriwa sio mrefu sana kiasi tu, maji ya kunde, asiwe mnene sana awe wastani aje PM kwa maelezo zaidi
Male Wafupi mmefikiriwa msikose,maana wadada always huwa wanataka warefu tu
 
Nimeelewa kwanini umeanza kwa kusema 'AWE MVUMILIVU' maana hapa kweli kazi ipo
We bwege nn ben 10 wa nn mm baada ufikirie maisha unataka kuwa kiben 10 utakuja pigwa mtungo ww usipende vya bure
 
Hivi mwanamke unaanzaje kutafta mwanaume, Ina maana huko mtaani, kanisani hawapo Hadi mje humu mtafte wasiojulikana Hawa jamani jamani
 
Habari zenu! mimi ni binti wa miaka 24 ninaishi dar es salaam. Natafuta mwanaume au mume mwenye uvumilivu awe na upendo kwangu pamoja na ndugu zangu pia nitampenda awe amejiajiri au kuajiriwa sio mrefu sana kiasi tu, maji ya kunde, asiwe mnene sana awe wastani aje PM kwa maelezo zaidi
Wa mikoani je
 
Nitumi namba yako ya simu au email address
 
Back
Top Bottom