Natafuta mume

Natafuta mume

Watu mna majibu
Hamfikirii huyu mtoa mada anaumizwa na majibu yenu mnaleta na kejeli humohumo.
Kuweni wastaarabu kama huna vigezo pita kimya kimya.
Hatukatai kuna masihara ila kuna vitu vya kufanyia masihara na vingine kuacha vipite tu.


Sent using Jamii Forums mobile app
People thinks negativity always sjui kwa nini alafu hawafikilii hata huyu ni binadamu kama wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muwe munaweka picha mnaficha Sura tuu tukiona Lishape mbona hata hautahangaika sana utampata Mzima wa Afya


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Watu mna majibu
Hamfikirii huyu mtoa mada anaumizwa na majibu yenu mnaleta na kejeli humohumo.
Kuweni wastaarabu kama huna vigezo pita kimya kimya.
Hatukatai kuna masihara ila kuna vitu vya kufanyia masihara na vingine kuacha vipite tu.


Sent using Jamii Forums mobile app
Yeyote yaweza kumkuta.Ukiona sio mahali pako haina haja ya kukebei.pita kimya kimya mana hutapungukiwa na kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm n binti wa miaka 26,ninaishi na vvu na tafuta mume wa hali yangu awe mkristo 29-35 mcha mungu na mwenye hofu ya Mungu.Mm n mrefu,mweupe kias na Nina bachelor.

Sent using Jamii Forums mobile app
kwanza pole sana... yaani nimeuvaa uhusika. je kama mtu hana umuhitaji? siku hizi huu ugonjwa hautishi kama zamani.
 
Wabongo sijui tukoje Mtu akisema ukweli tunamkejeli tunamuona Fala ila akidanganya pia mtamtukana Sasa Mlitaka afanyeje? Watu wanahisi HIV kama ndo mwisho wa Maisha wakati hakuna anayejua atasepa lini Unaweza ukafa kwa ajali ila mwenye HIV akazeeka nayo ! Kama upo interested we zama Pm mkayejenge


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kuna mtu eti anauliza What happened? Ili iweje sasa? Bora ukae kimya aisee Yani Tanzania adui UJINGA bado anatutesa saana Ndio maana Lowassa alisema Elimu Elimu Elimu Elimu Elimu akasau anaowaambia Wamesha athirika na ujinga


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom