mshipa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 12,253
- 22,843
[emoji1][emoji1]Asante[emoji23][emoji23][emoji23]...majibu yako tuu.
Huyo binti wako ni mrembo!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1][emoji1]Asante[emoji23][emoji23][emoji23]...majibu yako tuu.
Huyo binti wako ni mrembo!!
What if kama alizaliwa nao????.Ungekua wa kuolewa ungeolewa na aliekupa vvu
Sichenji buku kwa njaa ya siku moja
Swali gani hilo!???? .
Wewe una hela???
Mpe shout out, wengi wapo humu mmewala na hawajajitangaza .
Unahis kwann anatakiwa kukujibu????How happened?
People thinks negativity always sjui kwa nini alafu hawafikilii hata huyu ni binadamu kama waoWatu mna majibu
Hamfikirii huyu mtoa mada anaumizwa na majibu yenu mnaleta na kejeli humohumo.
Kuweni wastaarabu kama huna vigezo pita kimya kimya.
Hatukatai kuna masihara ila kuna vitu vya kufanyia masihara na vingine kuacha vipite tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] mi nadhan, tuendelee kuwachukulia ivi ivi kua ni HIV+ , na anatafuta mwenye hali kama yake.
UshafanikiwaPeople thinks negativity always sjui kwa nini alafu hawafikilii hata huyu ni binadamu kama wao
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeyote yaweza kumkuta.Ukiona sio mahali pako haina haja ya kukebei.pita kimya kimya mana hutapungukiwa na kitu.Watu mna majibu
Hamfikirii huyu mtoa mada anaumizwa na majibu yenu mnaleta na kejeli humohumo.
Kuweni wastaarabu kama huna vigezo pita kimya kimya.
Hatukatai kuna masihara ila kuna vitu vya kufanyia masihara na vingine kuacha vipite tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
kwanza pole sana... yaani nimeuvaa uhusika. je kama mtu hana umuhitaji? siku hizi huu ugonjwa hautishi kama zamani.Mm n binti wa miaka 26,ninaishi na vvu na tafuta mume wa hali yangu awe mkristo 29-35 mcha mungu na mwenye hofu ya Mungu.Mm n mrefu,mweupe kias na Nina bachelor.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm n binti wa miaka 26,ninaishi na vvu na tafuta mume wa hali yangu awe mkristo 29-35 mcha mungu na mwenye hofu ya Mungu.Mm n mrefu,mweupe kias na Nina bachelor.
Sent using Jamii Forums mobile app