Natafuta mume

Natafuta mume

Kama ninavyoona wanaume wenzangu mnavyochoreka PM
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Duh
Tehe tehe amegundua siku hizi mahimu ya chuo na life fake zao tunayakimbia.La saba kaona wanaolewa yeye na Batchelor of arts in KIDUNGA anazidi kuzeekea nyumbani kwao.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu..!! Wanasemaga kifo cha wengi harusi yaani hakina majonzi hata kidogo

Kwa hiyo usishangae sana kuona hiyo manipulation inayofanyika hapo.

Wewe unafikiri Old cargos wanafurahia kuwa pekee yao tu kwenye Gang? Lazima wafanye juhudi za kuwaongeza wanachama in the house!!

Hapo anataka dogo afikishe 33+ umri ambao ni bahati nasibu kumpata mwenza aliyesahihi ndio aanze kufikiria ndoa, halafu waanze kuimba wote chorus moja u "ndoa sio lazima.."
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu..!! Wanasemaga kifo cha wengi harusi yaani hakina majonzi hata kidogo

Kwa hiyo usishangae sana kuona hiyo manipulation inayofanyika hapo.

Wewe unafikiri Old cargos wanafurahia kuwa pekee yao tu kwenye Gang? Lazima wafanye juhudi za kuwaongeza wanachama in the house!!

Hapo anataka dogo afikishe 33+ umri ambao ni bahati nasibu kumpata mwenza aliyesahihi ndio aanze kufikiria ndoa, halafu waanze kuimba wote chorus moja u "ndoa sio lazima.."

…Mkuu kama hauna kitu positive don't waste your time kuandika nonsense!

...na msemo wako huo wa old Cargos..sio vizuri una kejeli kwa wadada wenye umri mkubwa! nakuuliza katika ukoo wako wote hakuna hao ''old Cargos''..au ungependa kuona dada zako wakiitwa hivyo??

eti tunafanya juhudi kuongeza wanachama??!!! what nonsense??? ili iweje ?? for what???

@Zechriss nilikua namaanisha you still have time,usipanick ukapata mwenza asie na vigezo vyako,sijasema uache kutafuta,bali tafuta ukijua you have time..so dont settle for less..!!
 
Naelewa mpenzi
 
Kiukweli nimemshangaa sana. Eti 26 bado mdogo??

Halafu utamuona Khantwe atakuja na maneno yake ya rejareja hapa.

Hawa watu bhana
 
…Mkuu kama hauna kitu positive don't waste your time kuandika nonsense!

...na msemo wako huo wa old Cargos..sio vizuri una kejeli kwa wadada wenye umri mkubwa! nakuuliza katika ukoo wako wote hakuna hao ''old Cargos''..au ungependa kuona dada zako wakiitwa hivyo??

eti tunafanya juhudi kuongeza wanachama??!!! what nonsense??? ili iweje ?? for what???

@Zechriss nilikua namaanisha you still have time,usipanick ukapata mwenza asie na vigezo vyako,sijasema uache kutafuta,bali tafuta ukijua you have time..so dont settle for less..!!
What he wrote is very positive, miaka 26 huoni kwamba kwa mwanamke ni jioni tena hiyo akizidi kuchelewa jua litazama soon.

I don't wanna comment about old cargos, lakini kwani sio old cargos kweli???

Zeshchriss, your time is now. I mean now not even tomorrow, chelewa chelewa nawe jina lije likusibu
 
Naelewa mpenzi
Umelewa Nini Apo,Mana kuna terminology zimetumika apo kwa jinsi ulivyo jipambanua kwa elemu yako ya lasaba sidhani Kama umeokota kitu NB punguza uwongo usaidike binti apa watu wana kuassess tuh,au unachangamsha genge?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umelewa Nini Apo,Mana kuna terminology zimetumika apo kwa jinsi ulivyo jipambanua kwa elemu yako ya lasaba sidhani Kama umeokota kitu NB punguza uwongo usaidike binti apa watu wana kuassess tuh,au unachangamsha genge?
Aiseeeeee
 
Namshkuru Mungu nimeuona kwa kweli.

Vipi kwako?? Salary ya August bado ipo?? Maana laki tatu zangu zote nshalipa madeni
Mshahara, ushaisha tangu siku naenda kuuchukua,[emoji3] [emoji3] , si wajua tena yale mambo ya Mangi nipe kitu Fulani na flani,ntakuona mwisho wa mwezii[emoji30]

Mshahara bana unakuja taratibuu kama Kobe ,ila unaondoka faster Kwa speed ya swala[emoji3]
 
What he wrote is very positive, miaka 26 huoni kwamba kwa mwanamke ni jioni tena hiyo akizidi kuchelewa jua litazama soon.

I don't wanna comment about old cargos, lakini kwani sio old cargos kweli???

Zeshchriss, your time is now. I mean now not even tomorrow, chelewa chelewa nawe jina lije likusibu

mnhhhhh you dont want to comment on old cargos and yet unauliza kama sio old cargos kweli??....baba kuwa moto au baridi sio vugu vugu ...

Kama hukunielewa nilikua namaanisha she still have time..plenty of time actually!..and yes zeshchriss usiwe pressurized into marriage....marriage is a lifetime commitment..one mistake one goal......take your time mamiii..

wewe unayeona 26 ni mkubwa nataka kujua umri wako,utakua chini ya miaka hio 26 labda...

kisha kama sikosei niliona mahali umri wa ndoa inayodumu ni miaka 28-32 years..

nitatafuta baadae nililete hapa hio habari
 
Mabaharia nitakieni mafanikio ninazama kule pm
Salaam kwenu.,,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nikiwa na akili timamu kabisa bila kushawishiwa na mtu yeyote, naweka bandiko hili la kutafuta mwanaume ambae atakuja kuwa mume wangu.
Vigezo ;
Awe mchamungu,
Rangi yoyote ila nyeusi itapewa kipaumbele,
Asiwe na kitambi,
Awe anajitambua kuwa yeye ni mwanaume na autumie vizuri uanaume wake,
Elimu yoyote Ile, [emoji23][emoji23][emoji23]

Sifa za mimi:
Mweusi,
Mwembamba,
Sina matako makubwa,
Elimu la saba,
Sina mtoto.

Umri
Awe na miaka kuanzia 32+
Umri wangu 26

Aliye tayari kuanza maisha mapya aje pm

Ahsanteni sana
 
Back
Top Bottom