Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
mwache amfunge mota mwenzie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwache amfunge mota mwenzie
Yaani nimeshangaa sanaWewe mdanganye mwenzio, bila shaka unatafuta kampani..
Hahaahahaahahahmwache amfunge mota mwenzie
Salaam kwenu.,,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nikiwa na akili timamu kabisa bila kushawishiwa na mtu yeyote, naweka bandiko hili la kutafuta mwanaume ambae atakuja kuwa mume wangu.
Vigezo ;
Awe mchamungu,
Rangi yoyote ila nyeusi itapewa kipaumbele,
Asiwe na kitambi,
Awe anajitambua kuwa yeye ni mwanaume na autumie vizuri uanaume wake,
Elimu yoyote Ile, [emoji23][emoji23][emoji23]
Sifa za mimi:
Mweusi,
Mwembamba,
Sina matako makubwa,
Elimu la saba,
Sina mtoto.
Umri
Awe na miaka kuanzia 32+
Umri wangu 26
Aliye tayari kuanza maisha mapya aje pm
Ahsanteni sana
MmmmmhhhhHahahahahahahah noo mamaaaa noooo sio hivyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😁😁😁😁😁 sisemi...sihemi kwa penz lako 😍😍😍Naona umewatag wakuda wenzio
Baharia wangu mimi tu ndio nakujulia [emoji7][emoji7][emoji7][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] sisemi...sihemi kwa penz lako [emoji7][emoji7][emoji7]
Hakika 😍😍😍Baharia wangu mimi tu ndio nakujulia [emoji7][emoji7][emoji7]
Baharia wangu peke yangu[emoji7]Hakika [emoji7][emoji7][emoji7]
Like no other bebz 😍Baharia wangu peke yangu[emoji7]
Mi usimpe mtu, baki nao mwenyewe. Sijui umenisikia au niongeze sauti.Nilishamkupaa weyeee
Unawajua!?They want more members in their gang nothing else.
Boss umefika na wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwache amfunge mota mwenzie
Nahodha wao Lizarazu.Naona umewatag wakuda wenzio
Eti kifo Cha wengi Nini!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu..!! Wanasemaga kifo cha wengi harusi yaani hakina majonzi hata kidogo
Kwa hiyo usishangae sana kuona hiyo manipulation inayofanyika hapo.
Wewe unafikiri Old cargos wanafurahia kuwa pekee yao tu kwenye Gang? Lazima wafanye juhudi za kuwaongeza wanachama in the house!!
Hapo anataka dogo afikishe 33+ umri ambao ni bahati nasibu kumpata mwenza aliyesahihi ndio aanze kufikiria ndoa, halafu waanze kuimba wote chorus moja u "ndoa sio lazima.."
anataka mwanaume anayejuwa kukazaNgoja wanaume tusiojijua tukae pembeni.
Jua la saa 10 ndio lipi Hilo[emoji3]?Kiufupi ni kwamba hiyo miaka 26 kwa mwanamke ni jua la saa kumi.
Kikawaida mpaka kufikia umri huo ilikuwa inatakiwa awe na mchumba tayari na sio ndio kuanza kutafuta.
Hapo sasa hivi alipo ana miaka miwili tu akikosa basi, probability inaanza kupungua na hatimae anaingia rasimi kwenye old cargos gang.
Wewe uko kwenye jua la saa saba!! Bado mchana sana.Jua la saa 10 ndio lipi Hilo[emoji3]?
Una maneno wewe
Hana nia njema na mwezie huyo!!mwache amfunge mota mwenzie