Natafuta mume

Natafuta mume

Ningekuletea hio info..ya kundi gani ndoa zao hudumu..ila najua hata ukipewa nini utabisha tuu...

kwa heri ngoja nikalale,siwezi Rebeca kubadilisha mtu alielelewa na kujua miaka yote kuwa mwanamke ni kiumbe dhaifu anayetakiwa kutawaliwa na kuendeshwa kama ng'ombe!

Bye,my last post to you...
Okay!! Good night to you ms. Rebecca
 
Nadhani hujamuelewa.
Alichomaanisha yeye Sio asitafute mchumba..Bali awe makini na asiharakie Sana maana ndoa Ni taasisi kubwa na Jambo kubwa hasa kuchagua mtu wa kuishi Naye maisha yake yote.
Nyie mna mawazo sawa,,sema tu hamuelewani
Basi ngoja nilale labda kesho nikisoma ntamuelewa vizuri
 
Huu uzi wa linii [emoji23][emoji23][emoji23] shoga angu umepataa?
Santino hebu okota dodo hili
 
Salaam kwenu.,,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nikiwa na akili timamu kabisa bila kushawishiwa na mtu yeyote, naweka bandiko hili la kutafuta mwanaume ambae atakuja kuwa mume wangu.
Vigezo ;
Awe mchamungu,
Rangi yoyote ila nyeusi itapewa kipaumbele,
Asiwe na kitambi,
Awe anajitambua kuwa yeye ni mwanaume na autumie vizuri uanaume wake,
Elimu yoyote Ile, [emoji23][emoji23][emoji23]


Sifa za mimi:
Mweusi,
Mwembamba,
Sina matako makubwa,
Elimu la saba,
Sina mtoto.

Umri
Awe na miaka kuanzia 32+
Umri wangu 26

Aliye tayari kuanza maisha mapya aje pm


Ahsanteni sana
Ila we najua sio mwembamba,,

Una neema za Allah [emoji13]
 
Ningekuletea hio info..ya kundi gani ndoa zao hudumu..ila najua hata ukipewa nini utabisha tuu...

kwa heri ngoja nikalale,siwezi Rebeca kubadilisha mtu alielelewa na kujua miaka yote kuwa mwanamke ni kiumbe dhaifu anayetakiwa kutawaliwa na kuendeshwa kama ng'ombe!

Bye,my last post to you...
Kwa kweli dada kalale.,usipoteze muda wako kubishana na huyu kijana.
Huyu atakuchosha bure..maana haelewagi yaani[emoji3]
 
Lizarazu ukalale sasa.
Umeandika mno jamani.
Acha kumu attack dada wa watu..huo ni mtazamo wake.
Msianze kumuattack kwa sababu tu mawazo yake hayajalingana na yenu..naona mnaanza kuhusianisha na vitu ambavyo havipo Wala yeye mwenyewe hajafikiria.
Acheni bwana

Extrovert
Relief Mirzska usijidai huoni quote zangu
Me nshakusihi, hutaki subiri na wewe ufike 30s ndio utajua.

Mambo mengine sio lazima uelewe ukiwa 20s, unaweza ukaelewa vizuri ukifika 30s pia
 
Nimekuelewa vizuri Sana.
Na umemaanisha kwamba huyu Rebeca 83 anataka wawe wengi kwenye kundi la Hilo unaloliita old cargos..
Na hii Ni kutokana na mitazamo yenu kukinzana juu ya huyu binti muanzisha Uzi.
Mimi naona humtendei haki huyo dada,unamkandamiza na SI ajabu lengo lake Sio Hilo unalolisema wewe.
Usimchanganye zeshchriss katika hili. Mitazamo yetu haikinzani na amejiona muda umefika ndio maana anatafuta mume.

Issue hii imekuja baada ya Rebeca 83 kusema 26 ni mdogo.

Acha upotoshaji kiddo
 
Eti kifo Cha wengi Nini!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe Lizarazu Mungu anakuona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Una uhakika km anataka wafe wengi!??
Hivi lizarazu una Nini lkn wewe!?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Katibu mkuu wa wadangaji jf, au umeacha udangaji lakini
Hahahahhahahahaha kile cheo nilistaafu boss [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilishaokoka kitambo kingi
 
Back
Top Bottom