Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Hujanijibu swali langu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe uko kwenye jua la saa saba!! Bado mchana sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujanijibu swali langu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe uko kwenye jua la saa saba!! Bado mchana sana.
Ndio lengo lake!! Chochote kisichokuwa kizuri kikiwahusu wengi kinakuwa cha kawaida na kikishakuwa cha kawaida, nobody will stress themselves out of it.Eti kifo Cha wengi Nini!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe Lizarazu Mungu anakuona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Una uhakika km anataka wafe wengi!??
Hivi lizarazu una Nini lkn wewe!?
Nyie Kwanini mkimbilie kumaanisha vitu tofauti na mawazo yake!??Ndio lengo lake!! Chochote kisichokuwa kizuri kikiwahusu wengi kinakuwa cha kawaida na kikishakuwa cha kawaida, nobody will stress themselves out of it.
Halafu ujifunze kujiongeza kifikra unaposoma kitu sio unaitafsiri kama ulivyoisoma.
😁😁😁😁😁😁Lizarazu ukalale sasa.
Umeandika mno jamani.
Acha kumu attack dada wa watu..huo ni mtazamo wake.
Msianze kumuattack kwa sababu tu mawazo yake hayajalingana na yenu..naona mnaanza kuhusianisha na vitu ambavyo havipo Wala yeye mwenyewe hajafikiria.
Acheni bwana
Extrovert
Relief Mirzska usijidai huoni quote zangu
yetu macho 😆Hana nia njema na mwezie huyo!!
[emoji108][emoji108]…Mkuu kama hauna kitu positive don't waste your time kuandika nonsense!
...na msemo wako huo wa old Cargos..sio vizuri una kejeli kwa wadada wenye umri mkubwa! nakuuliza katika ukoo wako wote hakuna hao ''old Cargos''..au ungependa kuona dada zako wakiitwa hivyo??
eti tunafanya juhudi kuongeza wanachama??!!! what nonsense??? ili iweje ?? for what???
@Zechriss nilikua namaanisha you still have time,usipanick ukapata mwenza asie na vigezo vyako,sijasema uache kutafuta,bali tafuta ukijua you have time..so dont settle for less..!!
You don't get paid by dragging her into your gang but it is just a way of giving yourself a stress relieve.do we get paid to recruit new members into our gang sir???
wanawake wa humu sikilizeni
waleeni watoto wenu vizuri...
Mume akiwa anakupiga,kuku harass..
Unalia mbele ya mtoto wako..
unajionyesha ulivyo hopeless kwenye ndoa na familia yako..
Mtoto anajifunza..
kumbe kuna surbodinate katika jamii
wanawake ni of lower class..
nyie watu wa hivi hamuwezi kuficha how maladjusted you are.
poleni,
.
Lizarazu stop that please [emoji120][emoji120][emoji120]You don't get paid by dragging her into your gang but it is just a way of giving yourself a stress relieve.
Asante sana kwa kuwahubiria wenzako huu ujumbe mzuri hapa hasa wale wenye tabia kama ulizozionesha hapa za upotoshaji.
Khaa!Lizarazu stop that please [emoji120][emoji120][emoji120]
You don't get paid by dragging her into your gang but it is just a way of giving yourself a stress relieve.
Asante sana kwa kuwahubiria wenzako huu ujumbe mzuri hapa hasa wale wenye tabia kama ulizozionesha hapa za upotoshaji.
Basi labda nimekosea kuwasilisha ujumbe, tatizo unasoma vitu na kuvitafsiri kama kilivyo hata kama kipo in metaphoric or figurative form.Nyie Kwanini mkimbilie kumaabisha vitu tofauti na mawazo yake!??
Sio vizuri hivyo Lizarazu
Kwa hiyo Mimi sijui kujiongeza ninaposoma kitu!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kunikosea adabu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]stress relief indeed,dont go to work tomorrow..go and sit with loaded individual and you will have money too..
ujumbe umekuuma....this is you!..upotoshaji wangu ni upi..Nyie ambao mko sensitive kila mwanamke anapotajwa lazima mpige chafya ni matatizo ya malezi...kama limekuuma kufa!
Kumwambia mwenzako umri wa 26 ni mdogo kutafuta mchumba ni upotoshaji wa kuwango cha SG.stress relief indeed,dont go to work tomorrow..go and sit with loaded individual and you will have money too..
ujumbe umekuuma....this is you!..upotoshaji wangu ni upi..Nyie ambao mko sensitive kila mwanamke anapotajwa lazima mpige chafya ni matatizo ya malezi...kama limekuuma kufa!
Kabisayetu macho 😆
Nimekuelewa vizuri Sana.Basi labda nimekosea kuwasilisha ujumbe, tatizo unasoma vitu na kuvitafsiri kama kilivyo hata kama kipo in metaphoric or figurative form.
Mfano ni hapo niliposema kifo cha wengi umeshindwa kunielewa nini hasa nilichokimaanisha ukihusishanisha na comment niliyoijibu.
Nadhani hujamuelewa.Kumwambia mwenzako umri wa 26 ni mdogo kutafuta mchumba ni upotoshaji wa kuwango cha SG.
Kama huoni ule ulikuwa ni upotoshaji una tatizo.
Haya ntakufa kesho basi ufurahi
Wewe maneno huumba.Kumwambia mwenzako umri wa 26 ni mdogo kutafuta mchumba ni upotoshaji wa kuwango cha SG.
Kama huoni ule ulikuwa ni upotoshaji una tatizo.
Haya ntakufa kesho basi ufurahi
Kumwambia mwenzako umri wa 26 ni mdogo kutafuta mchumba ni upotoshaji wa kuwango cha SG.
Kama huoni ule ulikuwa ni upotoshaji una tatizo.
Haya ntakufa kesho basi ufurahi