Natafuta mume

Natafuta mume

Salaam kwenu,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nikiwa na akili timamu kabisa bila kushawishiwa na mtu yeyote, naweka bandiko hili la kutafuta mwanaume ambaye atakuja kuwa mume wangu.

Vigezo:

Awe mchamungu,
Rangi yoyote ila nyeusi itapewa kipaumbele
Asiwe na kitambi
Awe anajitambua kuwa yeye ni mwanaume na autumie vizuri uanaume wake
Elimu yoyote ile [emoji23][emoji23][emoji23]

Sifa za mimi:

Mweusi
Mwembamba
Sina matako makubwa
Elimu ya darasa la saba
Sina mtoto

Umri
Awe na miaka kuanzia 32+
Umri wangu 26

Aliye tayari kuanza maisha mapya aje PM

Ahsanteni sana
Nadhani sijachelewa, ngoja ni ku - PM ila nina mke nataka wa pili
 
Salaam kwenu,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nikiwa na akili timamu kabisa bila kushawishiwa na mtu yeyote, naweka bandiko hili la kutafuta mwanaume ambaye atakuja kuwa mume wangu.

Vigezo:

Awe mchamungu,
Rangi yoyote ila nyeusi itapewa kipaumbele
Asiwe na kitambi
Awe anajitambua kuwa yeye ni mwanaume na autumie vizuri uanaume wake
Elimu yoyote ile [emoji23][emoji23][emoji23]

Sifa za mimi:

Mweusi
Mwembamba
Sina matako makubwa
Elimu ya darasa la saba
Sina mtoto

Umri
Awe na miaka kuanzia 32+
Umri wangu 26

Aliye tayari kuanza maisha mapya aje PM

Ahsanteni sana
Njoo inbobo coz yako haipokei sijui zimekua nyingi Sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom