Natafuta mume

Natafuta mume

Salaam kwenu,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nikiwa na akili timamu kabisa bila kushawishiwa na mtu yeyote, naweka bandiko hili la kutafuta mwanaume ambaye atakuja kuwa mume wangu.

Vigezo:

Awe mchamungu,
Rangi yoyote ila nyeusi itapewa kipaumbele
Asiwe na kitambi
Awe anajitambua kuwa yeye ni mwanaume na autumie vizuri uanaume wake
Elimu yoyote ile [emoji23][emoji23][emoji23]

Sifa za mimi:

Mweusi
Mwembamba
Sina matako makubwa
Elimu ya darasa la saba
Sina mtoto

Umri
Awe na miaka kuanzia 32+
Umri wangu 26

Aliye tayari kuanza maisha mapya aje PM

Ahsanteni sana
Kama hautojali unaweza nitafuta mimi Dm
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Zesh sasa hii ndo nini ?? [emoji1427][emoji1427][emoji1427][emoji1427][emoji1427][emoji25][emoji25]
IMG_0974.JPG
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ngoja kwanza I'd yako nyingine ni ipi

Sina nyingine zaidi ya hii, kuna moja ilikuwa inaitwa Eka mbe ila hii niliipoteza. Naomba tafadhari unifungulie geti niingie mama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahahahahaha pm yangu haifunguki
Sina nyingine zaidi ya hii, kuna moja ilikuwa inaitwa Eka mbe ila hii niliipoteza. Naomba tafadhari unifungulie geti niingie mama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tabia za kutafuta wanaume alafu mkifuatwa pm mmefunga sio vizuri wa mstakabali wa kutafuta me or ke.
 
Huyu Zesh anachangamsha genge tu anataka mume halafu PM kafunga!!.

Hii ni sawa na kuolewa halafu ukalazimisha ulale na nguo kila siku.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Watu wamekuwa wakipoteza raslimali nyingi kukusanya taarifa kwa ajili ya tafiti zao kumbe njia nirahisi sana ya kupata hizo taarifa, na mimi nitatumia hili jukwaa kupata taarifa za utafiti wangu muda ukifika.
 
Unataka kutafiti nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Back
Top Bottom