Natafuta mume

Natafuta mume

marapaula

Member
Joined
Dec 12, 2020
Posts
12
Reaction score
26
Habari zenu wapendwa,

Samahani kwa kuwapotezea wakati, Niko hapa kutafuta mume kwa mwanaume aliyeserious tuanzishe mahusiano baada Mungu akipenda tufike hatua ya ndoa.

Sifa zangu;
Umri: 31
Watoto: 1
Kimo: sio mrefu sio mfupi
Rangi: Maji ya kunde
Uzito: 73 kgs
Elimu: College
Kazi: muajiriwa

Sifa za ninaemtaka
Umri: 33-40s
Kimo: Asiwe mfupi
Rangi: Maji ya kunde / mweusi
Uzito: Asiwe mwembamba Sana
Elimu: form six kuendelea
Kazi: awe na shughuli yoyote ya kumuingizia kipato
 
Weupe hii haiwahusu, tuachuane sisi weusi tujitetee huko pm😁😁😁 nina sifa zote ila nipo tayari kukuoa nikipata ajira kama ww mana nahisi utaninyanyasa na wako mshahara🤪🤪 mawazo tuuu. Ila nakuja PM yeeeee
 
mtumie ID za kumtoa nyoka pangoni kama

Brenda, LaTisha, Linda, Felicia, Dawn, LeShaun, Ines, and Alicia, Teresa, Monica, Sharron, Nicki, Lisa, Veronica, Karen, Vicky, Cookie,Diane, and Carla, Marina, Selena, Katrina, Sabrina,LaToya, and Tina, Shelley, Bridget, Cathy, Rasheeda, Kelly, Nicole, Angel, Juanita, Stacy, Tracie, Rohna.
 
Huyo kwenye avatar yako ni wewe??

Upo tayari uwe nyumba ndogo yangu??
 
Habari zenu wapendwa,

Samahani kwa kuwapotezea wakati, Niko hapa kutafuta mume kwa mwanaume aliyeserious tuanzishe mahusiano baada Mungu akipenda tufike hatua ya ndoa.

Sifa zangu;
Umri: 31
Watoto: 1
Kimo: sio mrefu sio mfupi
Rangi: Maji ya kunde
Uzito: 73 kgs
Elimu: College
Kazi: muajiriwa

Sifa za ninaemtaka
Umri: 33-40s
Kimo: Asiwe mfupi
Rangi: Maji ya kunde / mweusi
Uzito: Asiwe mwembamba Sana
Elimu: form six kuendelea
Kazi: awe na shughuli yoyote ya kumuingizia kipato
Mhmm. Nadhani nakidhi vigezo. Je utakubali uwe mke mdogo?
 
Back
Top Bottom