Natafuta Mume

Natafuta Mume

Dah we dada sitasahau nilikupenda Sana lakini ulikuwa unaringa Sana pale mtaani enzi hizo tuko kule muheza miaka ya 2012 hivi nahisi ulikuwa in your early twenties ....Dah nilikuwa Na mpango wa kukuwowa kabisa, bathi Tu ukantolea nje
 
Miaka yangu 29
Makazi Pwani
Muislam

Nimtakaye
Awe kuanzia na miaka 31
Awe na kazi
Muislam
Atokee Mkoa ya karibu na Pwani au Pwani.

NB:Awe tayari kuoa kabla ya mwaka huu kuisha kama tukiridhiana,Insha' Allah.
.
 
Wewe ulikua mkristo..hataki hao
 
Miaka yangu 29
Makazi Pwani
Muislam

Nimtakaye
Awe kuanzia na miaka 31
Awe na kazi
Muislam
Atokee Mkoa ya karibu na Pwani au Pwani.

NB:Awe tayari kuoa kabla ya mwaka huu kuisha kama tukiridhiana,Insha' Allah.
Nenda somalia ndio utawapata wa sifa hizo
 
Dah we dada sitasahau nilikupenda Sana lakini ulikuwa unaringa Sana pale mtaani enzi hizo tuko kule muheza miaka ya 2012 hivi nahisi ulikuwa in your early twenties ....Dah nilikuwa Na mpango wa kukuwowa kabisa, bathi Tu ukantolea nje
Umejuaje kama ndio yeye?? by that age lazima alikuwa masomoni au kuna kozi anafanya. sasa yupo free
 
Vipi Mkiristo ambaye yuko tayari kuslimu?
Miaka yangu 29
Makazi Pwani
Muislam

Nimtakaye
Awe kuanzia na miaka 31
Awe na kazi
Muislam
Atokee Mkoa ya karibu na Pwani au Pwani.

NB:Awe tayari kuoa kabla ya mwaka huu kuisha kama tukiridhiana,Insha' Allah.
 
Miaka yangu 29
Makazi Pwani
Muislam

Nimtakaye
Awe kuanzia na miaka 31
Awe na kazi
Muislam
Atokee Mkoa ya karibu na Pwani au Pwani.

NB:Awe tayari kuoa kabla ya mwaka huu kuisha kama tukiridhiana,Insha' Allah.
Mungu akutangulie utimize haja ya moyo wako
 
Back
Top Bottom