Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani akuoe ndani ya miezi hii mitano? Taratibu kidogo speed yako kali sana.Miaka yangu 29
Makazi Pwani
Muislam
Nimtakaye
Awe kuanzia na miaka 31
Awe na kazi
Muislam
Atokee Mkoa ya karibu na Pwani au Pwani.
NB:Awe tayari kuoa kabla ya mwaka huu kuisha kama tukiridhiana,Insha' Allah.
.Miaka yangu 29
Makazi Pwani
Muislam
Nimtakaye
Awe kuanzia na miaka 31
Awe na kazi
Muislam
Atokee Mkoa ya karibu na Pwani au Pwani.
NB:Awe tayari kuoa kabla ya mwaka huu kuisha kama tukiridhiana,Insha' Allah.
NakuombeaMiaka yangu 29
Makazi Pwani
Muislam
Nimtakaye
Awe kuanzia na miaka 31
Awe na kazi
Muislam
Atokee Mkoa ya karibu na Pwani au Pwani.
NB:Awe tayari kuoa kabla ya mwaka huu kuisha kama tukiridhiana,Insha' Allah.
Wewe ulikua mkristo..hataki haoDah we dada sitasahau nilikupenda Sana lakini ulikuwa unaringa Sana pale mtaani enzi hizo tuko kule muheza miaka ya 2012 hivi nahisi ulikuwa in your early twenties ....Dah nilikuwa Na mpango wa kukuwowa kabisa, bathi Tu ukantolea nje
Nenda somalia ndio utawapata wa sifa hizoMiaka yangu 29
Makazi Pwani
Muislam
Nimtakaye
Awe kuanzia na miaka 31
Awe na kazi
Muislam
Atokee Mkoa ya karibu na Pwani au Pwani.
NB:Awe tayari kuoa kabla ya mwaka huu kuisha kama tukiridhiana,Insha' Allah.
Umejuaje kama ndio yeye?? by that age lazima alikuwa masomoni au kuna kozi anafanya. sasa yupo freeDah we dada sitasahau nilikupenda Sana lakini ulikuwa unaringa Sana pale mtaani enzi hizo tuko kule muheza miaka ya 2012 hivi nahisi ulikuwa in your early twenties ....Dah nilikuwa Na mpango wa kukuwowa kabisa, bathi Tu ukantolea nje
Miaka yangu 29
Makazi Pwani
Muislam
Nimtakaye
Awe kuanzia na miaka 31
Awe na kazi
Muislam
Atokee Mkoa ya karibu na Pwani au Pwani.
NB:Awe tayari kuoa kabla ya mwaka huu kuisha kama tukiridhiana,Insha' Allah.
Eti?NB:Awe tayari kuoa kabla ya mwaka huu kuish
Nafasi ipo waziVipi Mkiristo ambaye yuko tayari kuslimu?
Mungu akutangulie utimize haja ya moyo wakoMiaka yangu 29
Makazi Pwani
Muislam
Nimtakaye
Awe kuanzia na miaka 31
Awe na kazi
Muislam
Atokee Mkoa ya karibu na Pwani au Pwani.
NB:Awe tayari kuoa kabla ya mwaka huu kuisha kama tukiridhiana,Insha' Allah.